BY @mangekimambi_ - Not sure what to say, I only blame her for not being strong enough. Nyerere alikaa jela 25 years she could have taken 2 or 3 years za hiyo kesi yake. Kimara nzima wamebomolewa nyumba na wanaishi sembuse yeye mwenye jina kubwa??? Na lipshine zako walizozipiga marufuku so what? Ungekomaa na msimamo wako serikali ingechoka kukuandama. Wema you are weak! Very weak! Hujawaangusha waTZ tu, umejiangusha mwenyewe pia, your fans and everyone who cared for you. Hivi kizazi hiki kina Winnie Mandela hakuna kabisa eehe? Nakuonea huruma mnoooo sababu umepoteza credibly yooooote kwenye jamii.....
TOA MAONI YAKO HAPA
Mange kimavi wewe nyumbu baki hukohuko na manyumbu wenzio
ReplyDeleteWeee Mama soma historia vizuri usipotoshe wenzako, nyerere hawajawai kukaa jela, Kwanza Tanzania ilijipatia uhuru wake kwa Amani tu, ikakabidhiwa uhuru wake, vita vilivyokuwepo ni vita ya pili ya dunia, mjerumani akipigania koloni lake la Tanganyika lisichukuliwe na mwingireza, na mwingireza hakukaa sana Tanganyinga akatimua baada ya kuona karibu bara lite la Africa wameshaanza kudai uhuru wao, na nyerere na kundi lake wakamtuma kama kiongozi naye akadai uhuru wa nchi yao Tanganyika, weeeee Mama Mbona mpotoshaji lakini, hebu muda mwingine jaribu kujizuia hili domo
ReplyDeleteMI NAHISI HAPA ALITKA KUSEMA MANDELA LABDA HAYA NI MAKOSA YA KAWAIDA KWA KILA BINADAMU, ILA HUYU WEMA NI SIKIO LA KUFA.... KWANI KILICHOMTOA KULE NININI HASWA ALIJUA KAWAPATIA KUMBE KAPATIKANA NDIO MANA HANA HATA MAENDELEO KTK MAISHA YAKE JAPO ANA UMAARUFU NA JINA KUBWA, KUMBE NA RADHI YA BABA HAIWEZI KUMUACHA MTU SALAMA
ReplyDeleteNilikuwa najaribu kuangalia mihemko ya watanzania ilivyo..but mara nyingi nashindwa kujua kipi sahihi na kipini makosa maana mtu anafanya kile ambacho anaona kwake ni sahihi sasa Mambe kwanini umshutumu wema huenda ikawa ameona weakness upande wa pili
ReplyDelete