VIDEO: CHADEMA yafanya mabadiliko ya uongozi

BARAZA la Vijana Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamefanya uteuzi wa viongozi wake ili kuziba mapengo kufuatia baadhi ya viongozi wao kukihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi hivi karibuni.

Katika uteuzi huo, Bavicha wamemteua Patrick Ole Sosopi kuwa Mwenyekiti mpya wa BAVICHA kwa atakayetumikia nafasi hiyo kwa mwaka mmoja kabla ya uchaguzi kufanyika mwakani 2018, baada aliyekuwa mwenyekiti wa baraza hilo, Patrobas Katambi kuhamia CCM.

VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad