Video: Faiza na Picha za Uchi Akijifungua: Safari ijayo Nitajifungua LIVE!

Msanii wa filamu, Faiza Ally amedai anashangaa kuona watanzania wanapoteza muda kuizungumzia picha yake ambayo aliipost weekend iliyopita ikimuonyesha wakati akijifungua mtoto wake wa kiume ambaye kwa sasa ana miezi. Mrembo huyo amedai yeye haoni vibaya kwa madai ni kitu ambacho alikifanya kwa kuwa anakipenda huku akidai safari ijayo atajifungua live.

VIDEO:


Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu taahira serikali imchukulie hatua, asidhani sifa.... mfyuuuuu. Na nyie akina haki za binadamu, kwa hili mumenyamaza kimya, mnasubiri maandamano na habari za uchaguzi tu basi, huku wanawake wanadhalilishwa....kama hampo mfyuuuuu siwapendi LHRC.....sijui kwanini haifutwi hii taasisi, maana kazi zao hasa ni zipi, wamekaa kisiasa siasa tena za kiupinzani......hovyoooooo

    ReplyDelete
  2. mwanamke huyu hana heshima maana hata mume hana kwa hivyo acha aendelee kufanya hivyo , aibu ni kwa wanae badae

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad