Video: Prezzo ni Baba Mwenye Nyumba – Amber Lulu

Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amesema penzi lake na rapper Prezzo kutoka nchini Kenya bado lipo pale pale wala si kiki kama wengi wanavyodhani.

Muimbaji huyo ameendelea kwa kusema Prezzo kwake ni baba mwenye nyumba, hivyo lolote analofanya ni lazima kupata ruhusa kutoka kwake. VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad