Jana baada ya kusikia wema karudi ccm sikustuka sana kwa sababu a few days a go alisema anatamani kufa. So its like she was under pressure na anafanya maamuzi either kwa shinikizo au emotion.
Aliendaje chadema was its an ideological move au emotional move .. kama mtakumbuka it was more of emotional move baada ya kufunguliwa kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya .so kwenda chadema alienda kwa hasira na kukurupuka maswali ya kujiuliza
Move aliyokosea wema ni kusema anahama chadema na kurudi ccm bila ya kwanza kujivua uwanachama wa chadema na kuangalia upepo. Kama walivyofanya wakina Masha na kafulila. Kwa kujivua uwanachama nadhani angepata nafasi ya kujua kuwa bado anatakiwa ccm ama la. Na angepata mda wa kufanya dialogue na watu wa ccm ili arudi na kupokelewa vizuri.
Namuunga mkono H . Polepole kwa kisema chama siyo daladala na lazima sasa watengeneze utaratibu kuwa mtu akiondoka lazima akitaka kurudi akae katika uwangalizi kabla ya kutumika na chama au kurejeshewa uwanachama. Kurudi bila kuzikokotoa sababu za kuhama na sababu za kurudi si sahihi
Nadhani watu wengi zaidi wanakubali kuwa ni ccm tu yenye majibu kwa tamatizo ya watanzania vyama vingine bado sana na havina uwezo wa kuwa mbadala ya chama tawala.
J.John
Mbunge mtarajiwa wa CCM