Katika hotuba yake leo Jumamosi Desemba 16,2017, Zitto ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Mjini amewataka wajumbe wa kamati hiyo kujiuliza maswali magumu, likiwemo la kwa nini hali hiyo inakikumba chama chao.
Makada wa chama hicho waliojiunga na CCM ni Profesa Kitila Mkumbo aliyeachia nafasi ya ushauri wa ACT –Wazalendo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho; wakili Albert Msando, Samson Mwigamba na Edna Sunga.
Katika hotuba hiyo, Zitto amesema hamahama hiyo imezua taharuki kwenye chama hicho na kuacha maswali juu ya kinachoendelea katika siasa za Tanzania.
“Ni lazima tujiulize maswali magumu sisi wenyewe na kuzungumza tukitazamana machoni, je hakuna sababu za ndani sisi wenyewe zinazokimbiza wanachama wetu? Kama zipo ni zipi? Je ni sababu ambazo tunaweza kurekebisha na kukiimarisha chama," amehoji Zitto.
Amesema, "Kama ni sababu zilizo nje ya uwezo wetu tunafanya nini ili kuzikabili, je bado sisi tunaamini katika misingi ya chama kwa mujibu wa Azimio la Tabora? Tulikuwa kundi tu tulioumizwa na vyama tulivyokuwamo na tukaamua kuunda chama kupoza hasira zetu tu na sasa hasira zimeisha hakuna sababu ya chama kuwapo."
Amesema kati ya waanzilishi watatu wa ACT, wawili wamekikimbia na kujiunga na CCM na kwamba, jambo hilo huenda likarutubisha hoja kuwa chama hicho kilikuwa mradi wa chama tawala, kwamba sasa hauna maana tena.
Hivyo kelele zote za watanzania za kulaani tabia yake chafu na ya kukera ya usaliti kwa taifa anazoziendeleza Zito Kabwe kwa kisingizio cha demokrasia huwa hazisikii? Hivyo maoni ya watanzania wanaomshauri aachane na mtazamo ghasi wa siasa alionao kwa serikali iliopo madarakani anafikiri watu wanamchukia ? Ama kweli fikio la kifo halisikii dawa. Juhudi na nia ya Magufuli ipo wazi kabisa lakini wakati huo huo katika hali ya kushangaza kabisa na ya kusikitisha kunatokea watu miongoni mwa watu weusi waafrica na watanzania wanajiapiza kuhakikisha yakwamba Maghufili na serikali yake inashindwa kutekeleza majukumu yake na kuyafikkia malengo walioyaweka kwa ajili ya kuikomboa nchi yetu kutoka katika umasikini uliokisiri kwa kisingizio eti cha kupigania utawala bora? Jamani kumpiga vita Magufuli aliekaa madarakani si zaidi ya miaka miwili na kuelekea kufikia ukomo wake wa kipindi chake cha kwanza cha uraisi si dhaidi ya miaka mitano ni kumuonea, cha ajabu wale wanaompiga vita na kukusanya nguvu zao kuyashawishi mataifa ya kigeni hasa yale yenye nguvu kiuchumi ili iazibu serikali ya Magufuli hasa kwa kuinyima misaada ya maendeleo eti kwa kukosa demokrasia wakati mataifa hayo hayo ya kigeni ndio chanzo cha sisi kuwa katika hali hii ya umasikini kwa kweli ni usaliti usiovumilika. Sio siri Muengereza katutawala kitumwa kila kitu tulichokuwa nacho kilikuwa chao wao, mpaka sisi wenyewe tulikuwa mali yao huo ndio ukweli. Wamechukuwa kila kitu kilichokuwa na faida na kwenda kuzijenga nchi zao. Mjerumani halikadhalika na mataifa hayo yote mengine hasa yale yanayojifanya wasimamizi wa demokrasia ni mataifa yaliyoikalia Africa kwa mabavu kwa miaka mingi sana na hakuna walichokifanya cha maana kwa nchi zetu isipokuwa ni mateso tu na kupora rasilimali zetu na kutuachia majeraha makubwa na uharibifu wa mifumo yetu ya akili. Ukiachilia mbali mfumo wa maisha wa kitabaka hasa wa kikabila walioiasisi miongoni mwa jamii za kiafrica ili tugawanyike iwe rahisi kwao katutawala lakini Mbaya zaidi ni ile zana iliopandikizwa na wakoloni katika mfumo wetu wa akili wa kiafrica ya kuamini yakwamba bila ya mzungu basi muafrika hawezi kufanya jambo lolote la maana. Na bila ya maelekezo na masharti ya mzungu basi hapawezi kuwa na demokrasia kwa muafrika . Na hayo ndio mawazo ya upinzani wetu Tanzania na ndio mawazo ya akina Zito Kabwe. Sasa watanzania wote sio wapumbavu mtu kama Zito Kabwe na washirika wenzake wanaompiga vita Magufuli aidha wanafanya kwa kujua au hawajui yakwamba kumpiga vita Magufuli kwa kisingizio cha demokrasia au kutumiwa na mataifa ya nje ni kujiingiza katika usaliti usiosameheka kwa watanzania na kwa waafrica kwa ujumla. Na kama kweli akina Zito Kabwe na wanasheria wetu wa upinzani ni wapambanaji na smart hasa? Na wanauchungu na nchi yetu na Africa basi waende wakafungue madai ya fidia juu ya wakoloni kwa kuzitawala nchi zetu kinyume cha sheria na kupora rasilimali zetu,ikiwezekana wapeleke madai umoja wa mataifa kama alivyopeleka Maghufili madai yake kwa Acacia na akafanikiwa na wao wafungue madai juu ukoloni . Utaona ujerumani wametuibia mpaka mifupa ya mijusi na kuondoka nayo, lakini tunaomba mmuache Magufuli afanye kazi. Na Kuondoka kwa wanachama kwa wingi kutoka upinzani kwenda CCM ni njia moja ya busara kabisa na ya kistaarabu wanayotumia watanzania kwa sasa kuwaeleza akina Zito Kabwe na washirika wake acheni na hayo mambo ya usaliti kwa taifa letu kwa kuhangaika na Magufuli. Muacheni mzee wa watu awatumikie watu wake kwa amani. Ushahidi upo wazi kabisa yakwamba tangu Magufuli aanze harakati zake za kulipigania Taifa kimaslahi na kimkakati ya kurekebisha uchumi hakuna hata kitu kimoja upinzani hasa ule unaongozwa na Chadema wakaunga mkono au kuonesha nia ya kusapoti. Sasa watanzania umeshafika wakati wa kuamini yakwamba upinzani wa namna hii sio upinzani bali ni uadui kwa nchi na maendeleo ya taifa letu.
ReplyDeleteZito Zubli Kambwe... Unauliza Jibu au Swali?
ReplyDeleteSiasa sujui kama unaijua.
Wewe jinsi ulivyo kwa Tabia yako na Hulka yako.... Watu wamekuchoka...!!! Unajua Kwa nini?
Hapo ndiyo ungejiuliza na Kupata Jibu.
Wewe kama Sijui tukwite Mwenyekiti au...?
Je una Sifa za Kuishi na Kuelewa lipi lako na lipi la wenzako?
Sasa kwa Taarifa yako... Wewe ni Mmoja wa watu ambao wamejiweka na Kuamini katika Akili zao kuwa
Wanajua Kila Kitu.. Na Kila kitu solution ya iko kwao..Vinginevyo Basi ni Vuta Nikuvute. (ndiowewe)
Sasa kuamini kwamba kuna mwingine anauwezo na Anaweza kwako inakua vigumu kuingia katika Akili yako.
Ukiweza kuangalia suala hili kwa Mantiki Hii..... Amini Zitto Unavyo majibu yote au utayapata yote.
Zito Zubeli kabwe... Nakusihi Ujirekebishe na Uwe Binaadamu mwenye Kujielewa. Wameondoka kwa Ajili yako na wataondoka ..
Utabaki peke yako sijui Mama hapo nyumbani kama atakuvumilia kwa Jinsi ya Tabia yako.
Kumbuka Tanzania itajengwa na Watanzania wenye mwelekeo na Uchungu wa Kuona Nchi yetu inabadilika na Wananchi wake waweze kuyamudu Maisha na yawe ya Raha baada ya Kuchapa Kazi.
Ukilielewa Hili huto anzisha Bugudha kwa Uongozi na badala yake utatoa Ushirikiano wako katika Gurudumu la Maendeleo ya Nchi yetu hata kama wewe ni wa Kuleeee.
Jitathmini Vilivyo... Kabla hujawachiwa Playstation kwisha Chaji na Luku kumalizika.
Karibu uijenge nchi na uache Filimbi zako za Drama. Na kuchelewesha watu walio kazini.
Nchi imekopa ... Inakuhusu nini... wewe waziri wa Fedha au Mipango??
Zito Zubli Kambwe... Unauliza Jibu au Swali?

He! Kumbe hata yeye hajui sababu ya watu wake kuhamia CCM...!! Sababu ni wewe bro....husomeki, WAMEKUCHOKA-WENZAKO....maana ya-kiembe-mbuzi wayajua wewe, ya-kariakoo-wayatafuta-wewe UTAZUA-BAA..........
ReplyDelete