Agness Afunguka "Nampenda Bado Rammy Gallis Akitaka Tena Nitampa Bure"

MUUZA nyago machachari Bongo, Agness Mmasi amesema kuwa, kamwe hawezi kulisahau penzi la msanii wa filamu Bongo, Rammy Gallis, sababu ana mahaba mazito na mwanaume huyo.

Akipiga stori na Star Mix msanii huyo ambaye ana orodha kubwa ya kubanjuka na mastaa alisema, katika wasanii wote aliowahi kuwa nao, mwanaume anayempenda sana ni Rammy na ni ngumu kwake kusahau penzi lake sababu anatambua thamani ya mwanamke.

Msanii wa filamu Bongo, Rammy Gallis.
“Nampenda sana Rammy japo nilishapita lakini ni ngumu kumsahau, halafu ni mwanaume ambaye muda wowote akinihitaji siwezi kumringia sababu bado namzimia vibaya, naweza kusema ndo’ msanii pekee katika wale niliowahi kuwa nao ambaye ananihe-shimu, ”alisema.
Stori Na Mayasa Mariwata | Ijumaa

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. sema kaka John!! wataolewa na nani kwa hali kama hii??

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad