Alichokisema Haji Manara Baada ya Kusikia Juma Nyoso Kampiga Shabiki

Alichokisema Haji Manara Baada ya Kusikia Juma Nyoso Kampiga Shabiki
Jumatatu ya January 22 2018 beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amejikuta akiingia matatizoni baada ya kujikuta akikamatwa na Polisi kwa madai ya kumpiga shabiki na kuzimia baada ya mchezo wao dhidi ya Simba uliyomalizika kwa Simba kupata ushindi wa magoli 2-0.

Afisa habari wa Simba Haji Manara ni miongoni mwa watanzania waliojitokeza kuangalia mchezo huo na baada ya kusikia Nyosso kampiga shabiki akaandika hivikupiti instagram account yake.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad