Baada ya Siku 61 za Lulu Gerezani Idriss Sultan Kaandika Hivi


Baada ya Siku 61 za Lulu Gerezani Idriss Sultan Kaandika Hivi
Kupitia instagram page ya Idris Sultan ameandika ujumbe ambao umewakumbusha wengi tukio la Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake marehemu Steven Kanumba.


Idris Sultan na Elizabeth Michael wamefanya kazi pamoja katika tamthilia ya SARAFU na moja kati ya kipande katika tamthilia hiyo kimeonyesha kuwa Elizabeth Michael ndiye anayemtembelea Idris Sultan gerezani wakati uhalisia wa sasa ni tofauti.

Idris Sultan aliandika “Kinyume cha hali halisi ya leo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad