Baada ya Simba, Azam na Yanga kufungwa na URA tunaiweka katika nafasi gani ligi yetu?


Baada ya Simba, Azam na Yanga kufungwa na URA tunaiweka katika nafasi gani ligi yetu?
1. Simba ambao ni vinara wa VPL walikalishwa 1-0 na URA
2. Azam wapo nafasi ya pili kwenye VPL wakakaa 1-0 kwa URA

3. Yanga wakiwa nafasi ya nne VPL wamekaa pia kwa URA kwa matuta

Inamaana ligi yetu ni nyanya?? Kumbuka Simba na Yanga ndio wataiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa (Yanga-Caf Champion League) na (Simba-Caf Confederation Cup).
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad