Baada ya Video ya Wema na Diamond Kusambaa Mitandaoni Mama Diamond Afunguka Haya

Maneno yamekuwa mengi baada ya Wema Sepetu kupanda kwenye stage na kumuita Diamond Platnumz wakiwa Maisha Basement na wengi  kujiuliza kuhusu ukaribu wao tokea wakiwa Hyatt Regency katika utambulisho rasmi wa msanii Marombosso katika record label ya WCB.

Mama Diamond akaamua kupost instagram sehemu ya video clip Wema akiwa kwenye stage na kuandika “KWA HERUFI KUBWA NYIE ONGEENI CHAMBANENI CC TUNAPIGA PESA”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad