Mmoja wa wateja aliyejitambulisha kwa jina la Elizabeth Munish amesema yeye aliwekeza pesa zake kwenye benki hiyo kwa sababu aliamini ni Benki ya wananchi na ni sehemu salama kuweka pesa zake na hivyo taarifa ya kugungiwa ameipokea kwa masikitiko makubwa.
“Nimeweka pesa nyingi, ada za watoto zote nilikuwa nimeweka huku, hata Jumatatu sina ada ya kuwapeleka wanangu shule, nina watoto wa chuo na wa shule za English medium, sina hata senti tano na ndani nia shilingi Elfu ishirini tu.” – Elizabeth Munish
Mbona serikali ilishawasha taa nyekundu muda tu we ndio uache mamikioni humo,
ReplyDelete