Bunge Laanza Rasmi Leo

Bunge Laanza Rasmi Leo
Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo vimeanza rasmi mjini Dodoma ambapo wabunge wapya watatu, leo wanatarajiwa kuapishwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Wabunge wanaotarajiwa kuapishwa ni wale waliochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa marudio wa Ubunge kwenye majimbo ya Songea Mjini, Singida Kaskazini na Longido, majimbo ambayo awali yalikuwa wazi kutokana na sababu mbalimbali.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad