Diamond Ashinda Tuzo ya Best Male Africa Tuzo za Sound city MVP, Awakalisha Davido na Wizkid

Mwaka 2018 umeanza vizuri kwa nyota wa Tanzania diamond platnumz baada ya usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria kulifanyika tuzo za Sound City MVP na kuudhuriwa na mastaa wote wa Nigeria.
Diamond alikuwa kwenye kipengele cha Best Male act Africa akichuana na nguli wengine kutoka Africa
Davido
Sarkodie
Olamide
Wizkid
Navio
Runtown
Diamond platnumz ( winner)
2face
Amekuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kushinda tuzo hiyo

Best female Act Africa akishinda Tiwa Savage kutoka Nigeria
Hata hovyo Davido aliibuka na tuzo 3 huku Wizkid akishinda 2
Cassper Nyovest aliibuka na tuzo ya msanii bora wa Hip hop

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad