Hamissa Mobetto Kuleta Bidhaa Sokoni Naye Kuja na 'Lipstick'

Hamissa Mobetto Kuleta Bidhaa Sokoni Naye Kuja na 'Lipstick'
Baada ya ukimya wa mrembo Hamisa Mobetto  katika mitandao ya kijamii  ameamua kurejea na maswali kwa baadhi ya mashabiki baada ya kupost picha za tangazo za rangi za midomo(lipsticks) katika ukurasa wake wa instagram na wengi kujiuliza kama ana mpango wa kuja na lipsticks zake.



Hamisa Mobetto ameandika “itakujia hivi karibuni, nafanya kazi kwa bidii na ukimya” 5 FACES OF HAMISA by CHARMED BEAUTE



Je tutegemee kupata lipsticks kutoka kwa Hamisa Mobetto kwa mwaka huu 2018? Kupata majibu hayo endelea kukaa karibu na Ayo Tv na millardayo.com tutamtafuta Hamisa Mobetto ili kuzungumzia suala hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad