Hivi Kweli Ustaa wa Wema Sepetu Ndio Unaelekea Ukingoni?

Wema Leo amepost picha zake Kali baada ya kufuta post zake zote za mwaka Jana. tangu mwaka mpya uanze Leo Ndio kapost picha zake cha kushangaza sio Kama kawaida ilivyokuwa awali, Zamani ilikuwa hapatoshi Malkia huyu akituma picha zake. Lakini naona watu wako Kimyaaaa hata ile team yake hakika Hakuna amsha amsha kama za awali. Hakika Hakuna marefu yasiyo na ncha

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio unaelekea ukingoni.Ulishaga fika ukingoni zamaaaaani hahahahahahaha. Kavaa mimba ya matambara hakuna alie mind. Kavaa makalio feki ndio kabisaaaa.Kahamia chadema hakuna aliegundua.Karudi CCM watu wanaendelea na maisha yao. Hata wale wa kuwavulia chupi hakuna tena. Lakini Hamorapa asikate tamaa. Keki ya taifa ina mogelewa na yyte.Kazana kidogo tu atavua chupi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad