Hussen Machozi Amshukuru Alikiba kwa Kumpa Shavu

Hussen Machozi Amshukuru Alikiba kwa Kumpa Shavu
Msanii Hussein Machozi ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Sweet Melody' amefunguka na kusema kuwa kitendo ambacho amefanya msanii Alikiba kumpa 'support' katika kazi yake hiyo kimempa nguvu zaidi na kuona na yeye ni mtu muhimu.


Hussein Machozi amesema hayo wakati akiongea na mwandishi wa EATV.TV na kusema anaamini Alikiba amesikiliza na kuiona kazi yake mpya na kuikubali ndiyo maana ameamua kumpa support.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad