Idriss Mapenzi Yamtesa Sasa Amkumbuka X- Wake Walioshiriki Shindano la Big Brather

Idriss Mapenzi Yamtesa Sasa Amkumbuka X- Wake  Walioshiriki Shindano la Big Brather
Mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idris Sultan ameonyesha kumkumbuka mpenzi wake wa zamani aliyempata wakati wakishiriki shindano la Big Brother 2014 ambaye ni Samantha Jannsen ambaye anatokea nchini  Afrika Kusini.



Idris amepost video clip kwenye Instagram page yake akiwa na Samantha licha ya kwamba Idriss na Samantha wameachana miaka kadhaa iliyopita na kuandika hivi  “The beauty & the beast… Happiest birthday to the beast 😍🖤 @samanthajannsen”

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad