Imevuja: Maromboso yuko Kwenye Penzi zito na Queen Darlin Dada wa Bosi wake Diamond

Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.

Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso .

Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini Queen Darlin ameonekana kukunwa vilivyo na Muhogo wa Jang'ombe wa Mboso na ameshindwa kabisa kujizuia matokeo yake anaonesha waziwazi mahaba niue kwa mpenzi wake huyo bila kujali watu watasemaje juu ya ki Ben ten chake hicho       

Huko Sauzi walipoenda kwenye sherehe ya Nillan wamegandana kila mahali kama kumbikumbi vile.

Na kwa sasa Diamond hana budi kumuheshimu Mboso kama shemeji yake na wala si kama msanii wake tu.

    naona majimama safari hii yamechachamaaa kujibebea vi Ben ten yamechoka kuguswa guswa na kutiwa tu shombo na vizee sasa wanataka wakamuliwe haswaaa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad