VIDEO
Babu Tale Kazungumza Kuhusu kiki ya Tunda inawasaidia Kimuziki?
0
January 30, 2018
Wakati Babu Tale akifanyiwa interview kuhusu Maromboso pembeni yake alikuwepo Diamond ambaye naye alikuwa akihojiwa lakini akapita Tunda ndipo Diamond akamuita kwa sauti kubwa na kumsalimia ndipo alipoulizwa Babu Tale kama wanatumia hizo ili kubusti muziki wao..
VIDEO
VIDEO
Tags