Lucy Kombaa Kumzalia Mtoto Mzungu Wake

Lucy Kombaa Kumzalia Mtoto Mzungu Wake
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye kipindi cha nyuma aliweka ngumu kumzalia mzungu wake, sasa anadaiwa kuwa kwenye mkakati mzito wa kusaka mtoto baada ya mwanaume huyo na familia yake kuchachamaa azae.

Akizungumza na Star Mix, mtoa ubuyu ambaye yupo karibu na bibie huyo alisema, japo kipindi cha nyuma aligoma kumzalia mzungu wake kwa madai kuwa bado anasoma sababu alijiunga na kozi mbalimbali, kwa sasa familia imemjia juu ikimtaka azae.

Baada ya kuunyaka ubuyu huo, Lucy anayeishi nchini Denmark na mumewe alivutiwa waya, alipopatikana alisema: “Mambo mengine ni ya kifamilia siwezi kuyaongelea, lakini kifupi tu ni kwamba sasa nipo kwenye mkakati wa kumpatia mtoto mume wangu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad