Mafuriko Yasababisha Kufungwa kwa Barabara Dar... Magari ya Mwendokasi Yasitisha Huduma ya Usafiri

Mafuriko Yasababisha Kufungwa kwa Barabara aMto Msimbazi... Magaai ya Mwendokasi Yasitisha Huduma ya Usafiri
Kufuatia kujaa maji juu ya daraja la Mto Msimbazi kwenye Barabara ya Morogoro na kusababishwa kufungwa kwa muda kwa barabara hiyo, Kamapuni inayotoa huduma katika mradi wa Mabasi yaendayo haraka jijini Dra es Salaam, UDA Rapid Transit (UDART) inauarifu umma kuwa huduma za mabasi hayo zimesitishwa kwa muda kuanzia saa 3:00 asubuhi ya Januari 08, 2018.

Mara baada ya hali kutengemaa na mamlaka husika kuruhusu barabara hiyo kuendelea kutumika, huduma zitarejea mara moja. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Deus Bugaywa, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano UDART.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad