Membe na Lowassa Uso kwa Uso Nyumbani kwa Gwajima

 Membe na Lowassa Uso kwa Uso Nyumbani kwa Gwajima
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani, Bernard Membe walipokutana leo katika msiba wa mama mzazi wa Askofu Josephat Gwajima nyumbani kwake Salasala.

Lowassa, Mbunge wa Vunjo, James Mbatia, Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema na Bernard Membe kwenye msiba wa mama mzazi wa Askofu Gwajima.

WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani, Bernard Membe leo katika msiba wa mama mzazi wa Askofu Josephat Gwajima nyumbani kwake Salasala jijini Dar es Salaam.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siongei kwa ubaya bt kuna clip nlionaga amefufua mtu youtube sasa cjui kwa ndugu haifai kufufuka au nivipi. Kabla ujanilaumu zama youtube uitafute kwanza

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad