Mrembo Tunda Aomba Msamaha Baada ya Video Kuvuja Akipigana Busu na Mume wa Mtu Live
Udaku Special
January 31, 2018

Mrembo Tunda aomba Msamaha kwa mashabiki na Mke wa Kinje Kisa Video Zinazosambaa Mtandaoni wakipigana Madenda.... Adai Matukio ni ya zamani sio sasa.