Mtalaka wa Sugu Azuiwa Kuingia Ofisi za RITA Kisa Maadili...

Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.

Askari waliokuwepo ofisi za RITA walimtaka Faiza Ally akabadili vazi na kuvaa linalostahili kuvaliwa katika ofisi ya umma. Baada ya mvutano, alijitokeza msamaria aliyemuazima mtandio ambao alivaa na ndipo aliporuhusiwa kuingia ofisini ili kutimiziwa shida iliyompeleka.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sugu hajawah kuoa hiki kicheche alivyopiga kikashika mimba

    ReplyDelete
  2. Jamani kina Dada. Vaeni nguo za kueleweka.
    Hata si ajabu mkapata waume wa kuwaweka ndani kama mshirika katika maisha
    na siyo wa kujipiga na safari mbele.
    KUWENI NA MAADILI MEMA TUJENGE TAIFA JEMA.
    TOKEA MAVAZI, MAZUNGUMZO NA LUGHA, NA MSHIKE MAFUNZO YA DINI ZENU IPASAVYO

    ReplyDelete
  3. mbona hii gauni haina shida. mnaendekeza tu mambo mengine hapa. tuko dubai kwa waislamu au.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad