Nandy Amponda Ruby..Adai Nyimbi za Ruby Hazikufanya Vizuri Ndio Maana Akawa Kimya


Kutoka kwa African Princess, Nandy amesema kuwa Ruby ametumia kisingizio cha kujitetea kwa kusema kwamba alikuwa kimya kimuziki kwa kusudi la kumpisha yeye (Nandy) ili kumuachia nafasi asikike .
.
.

Nandy amesema kuwa sio kweli kwamba alipishwa na Ruby kwani hitmaker huyo wa 'Na yule' alikuwa na kazi zake alizitoa lakini hazikufanya vizuri .
.
. "Hapana sio kweli siamini kitu kama hicho kwasababu nakumbuka ana nyimbo 3 kazitoa kipindi hichi, kazitoa singeli 2 na wimbo mmoja unaitwa 'walewale' sasa hapo alikuwa amepumzika ama? Ni kitu ambacho sio cha kweli" amesema @officialnandy .
.
.

Nandy ameendelea kueleza na kusema kwamba . "Halafu watu wengi wanajua kwamba Ruby alikuwa amegombana na uongozi wake baada ya kugombana na uongozi wake in picture haraka haraka kwa hivyo alivyosema najua ni kipindi ambacho amegombana na uongozi wake ndio sababu hizo nyimbo (na hazikufanya vizuri) Hicho ni kisingizio labda cha kujitetea" ameeleza African Princess .
.

Siku kadhaa zimepita @iamrubyafrica alikaririwa kwenye moja ya chombo cha habari akisema kwamba yeye aliona ni vema kumuachia nafasi na Nandy asikike.
#letitshinenewz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad