
Pata bidhaa za Kayla's zitokanazo na karanga zikiwa zimeandaliwa kwa ustadi mkubwa.
Kuna Kayla's Peanut butter , peanut butter fudge plain na zilizo na chocolate, dark /white chocolate cups, Flourless cakes (zenye chocolates)
Jipatie kwa jumla na reja reja.
Direct calls: +255716898444

Nimevutiwa sana na products zako. Kwa Dodoma nitazipata wapi? 0715208034
ReplyDeleteAsante Mr Masapa. Natumai umekwisha pata simu toka Kayla's. Karibu tena
Delete