Picha: Hivi Ndivyo Itakavyokuwa Kituo cha Mabasi Dodoma

Picha: Hivi Ndivyo Itakavyokuwa Kituo cha Mabasi Dodoma
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Ujenzi imejipanga kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo kipya na cha kisasa cha mabasiyaendayo mikoani katika Makao Makuu ya Nchiu, Mjini Dodomna.

Kituo hicho ambacho kinajengwa nje kidogo ya mji, kitakuwa na manufaa makubwa katika kudhibiti msongamano wa magari unaochangiwa na kukua kwa haraka kwa mji.

Aidha, mradi wa Ujenzi wa kituo hicho unatarajiwa kuanza hivi karibuni.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pia huduma ya Mabasi ya mwemdo kasi dodoma tafadhali Itapendeza zaidi

    ReplyDelete
  2. Karibuni Dodoma....!!! na Neema na uzalishaji Ajira uko njiani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad