Picha ya Diamond na Harmonize Kwenye Mnara wa Redio ya WCB

Baada ya kutuonesha mjengo mpya ambapo ndio zitakuwa ofisi za radio ya Wasafi FM na Wasafi Tv  sasa CEO wa WCB Diamond Platnumz  leo January 12, 2018 amepost picha inayomuonesha yuko na Harmonize huku nyuma yao kukiwa na mnara mrefu ambao inawezekana ukawa ndiyo mnara wa radio tuliyo ahidiwa..

Diamond amepost picha hiyo na kuandika Caption iliyosomeka…“What a Busy Day #Mnarani…. InshaAllah Mwenyez Mungu atujaalie sisi Pamoja nawe Mwaka 2018 Uwe Mwaka Mwema na Wamafanikio…Tuseme “Ameen”🙏 Cc @harmonize_tz” – Diamond

VIDEO:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad