Rais Magufuli Ameteua Kamishina Mpya wa Madini

Rais Magufuli Amemteua Kamishina Mpya wa Madini  Leo Wakati wa Sherehe za Kumuapisha Biteko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza kumteua Kamishina mpya wa Madini ambaye pia atasimama kama Mtendaji Mkuu wa Tume ya Madini.

President Magufuli ametangaza uamuzi huo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini DSM ya kumuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini. Ambapo amemteua Prof. Shukuruni Elisha Manya kuwa Kamishina wa Madini.

“Nimeambiwa Kamishina wa Madini ni tatizo inawezekana yupo hapa, Nimeamua kumteua Prof. Elisha Manya atakuwa Kamishina wa Madini na ndo atakuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Madini.”- President Magufuli

“Nimeambiwa Kamishina wa Madini ni tatizo inawezekana yupo hapa, Nimeamua kumteua Prof. Elisha Manya atakuwa Kamishina wa Madini na ndo atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kamishina ya Madini.”- President Magufuli
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad