SoudyBrown Afanya Utani Mkali kwa Idris Baada ya Kupiga Picha Nusu Utupu



Baada ya Bongo superstar (Comedian) Idriss kupata dili kutoka kwa calvin klein nakuanza kupost picha akiwa amevaa boksa ambapo awali wengi walimshambuliwa kwa muonekano huo, na baadae kupost kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa pamoja walimwambia kuwa anakiba.....

utani huo umezidi kushika hatamu kwenye mtandao huo wa kijamii wa instagram baada ya mtangazaji  soudybrown kupost picha ambayo imeonyesha tafsiri ya maajibizano ambayo yalikuwa yanaendelea.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad