Tanzia;Kingunge Apata Pigo Mkewe Afariki Dunia

Tanzia;Kingunge Apata Pigo Mkewe  Afariki Dunia
Mke wa mwanasiasa mkongwe nchini kingunge Ngombale,Pelasi amefariki dunia katika hospitali ya taifa Muhimbili mtoto wa kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba wa mama yake.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kinje na Ndugu zako wote.. Poleni kwa msiba mkubwa Sote tuko pamoja na tunamuomba Mungu Amlaze mama mahala pema.
    Na Baba apate nafuu na afya njema. Siasa Ni debe la taka Mbovu.
    Mzee na Mama ni watu wa karibu kwetu na tumefanya nao kazi.
    Mungu akupeni Subira na Mshikamano katika Msiba huu wetu Sote.
    Bwana ametoa na bwana ametwaa... Sisi wote hii ndiyo Njia yetu ya Haki.
    wao wametangulia na Sisi tuko Nyuma yao. Pole mwanangu Kinje na ndugu na Jamaa Wote.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad