Tundu Lissu Kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa Kutokana na Mahojiano Aliyofanya na BBC

Cyprian Musiba ambaye ni mkurugenzi mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Kautaarifu umma kupitia wanasheria na mawakili maarufu hapa nchini wanakusudia kumfungulia mashtaka Tundu Lissu mahakamani hapa nchini lakini pia kuna mawakili wengine watakwenda katika mahakama ya kimataifa (The Hague) kupeleka kopi ya mashtaka dhidi ya Tundu Lissu.

Alikuwa akizungumza katika kipindi cha Focus on Africa kinachorushwa na BBC mwandishi aliyemuhoji anaitwa Victor Kenani wiki mbili zilizopita.

"Tundu Lissu alisema Tanzania kwa sasa ni nchi hatarishi kwa siasa pamoja na pamoja na wote wanaohoji utendaji wa Serikali. Akaongeza kusema watu wanauawa hovyo na wanatupwa baharini kwenye viroba. Tunataka atupe uthibitisho wa madai yake hayo ndani ya siku mbili zijazo kuanzia leo".

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad