UKAWA wanyakua nafasi ya Unaibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam

Mgombea wa Ukawa, Mussa Kafana (CUF) ameshinda uchaguzi wa Naibu Meya jiji la Dar es Salaam akiwa kwenye machela.

UKAWA wajumbe 11

CCM. 11

Jumla ya kura. 22

CCM. Kura. 10
CUF. 12

NOTE:
CCM yaipigia kura UKAWA Naibu Meya


Meya wa Ubungo (Wakala wa UKAWA) Akipambana na Madiwani wa ccm Waliotaka Kumpora Kura, Wakati wa Uchaguzi wa Naibu Meya Dar es salaam. Hii Ilitokea Baada kura Kuhesabiwa na Kukuta UKAWA Wana Kura 12 na ccm 10.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo bao la mkono linalotembea kila kona. Nawashangaa wote wanye akili zao wanaoiunga CCM ingawa mambo yako wazi ya Wizi, uporaji wa kura mchana kweupe kama mkuu mmoja alivyonukuliwa akisema. CCM ndiko mafisadi wote wakuu wapo wamejificha na Kiongozi wetu wa nchi. ameshindwa au anawaogopa. Ni kitu kimoja tu kitawangoa hawa watu na kuwashtaki na kunyanganya kila walichokipora kwa nguvu kupitia nyazfa zao ni Kudai kuleta Katiba ya Wananchi ambayo itamfanya kila Mtanzania awe na sauti sawa bila kujali cheo.Ondoeni kinga zote za Maraisi waliotusababishia nchi kuingia kwenye haya yote yanayotusibu.
    MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE WOTE. INAKUJA IKIWA WOTE TUKISIMAMA PAMOJA NA KUDAI HAKI ZETU.

    ReplyDelete
  2. Du bila kumkunja ungesikia wamepata kula 21

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad