VIDEO: Mtatiro Afunguka CHADEMA Kusimamisha Wagombea

Mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa Chama cha CUF Julius Mtatiro amesema kuwa kitendo cha CHADEMA kusimamisha wagombea katika uchaguzi mdogo wa marudio majimbo mawili ya Kinondoni na Siha sio kitendo kibaya, Msimamo wa UKAWA ulikua ni kugomea uchaguzi mdogo wa January 11.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........ 
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unafikiri utasemaje sasa, wakati Mbowe na chadema yake wamewashikia akili zenu, wanachotaka wao ndio mnachofanya, cuf haina jeuri ya kufanya itakacho, ila chadema wanafanya wakitakacho. Nyinyi CUF endeleeni KUJIPENDEKEZA kwao mtaona matokeo yake...!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad