VIDEO: Mwenyekiti Bavicha Amvaa Magufuli

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema Patrick Ole Sosopi amesema kitendo cha Rais John Pombe Magufuli Kumuita Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa Ikulu na Kumshawishi kujiunga na CCM sio kitendo ambacho kinafaa kufumbiwa macho. VIDEO:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ole Sosopi, mpaka JPM amshawishi Lowasa kujiunga CCM, kwani Lowasa alisharudisha kadi ya CCM? Lowasa anaweza kurudi (sio kujiunga) CCM wakati wowote, kwani bado ni mwanachama hai...MPO!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad