Vifaa Vimeanza Kushushwa Kwenye Mjengo wa Wasafi Radio

Vifaa Vimeanza Kushushwa Kwenye Mjengo wa Wasafi Radio
Msanii kutokea record label ya WCB Harmonize kupitia insta story yake ya Instagram ametuonyesha baadhi ya vifaa vilivyoshushwa makao makuu mapya ya WCB ambapo kwa mujibu wa CEO wa WCB Diamond Platnumz ameeleza jengo hilo litakuwa na kazi mbalimbali.

Kwa upande wa Harmonize ametuonesha generators zikishushwa Wasafi Headquaters kwa ajili ya Wasafi Tv na Wasafi Radio hii ikiwa ni siku chache zimepita toka Diamond Platnumz atangaze kufungua kituo cha Radio na Tv nchini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad