Waliotoboa Bomba la Mafuta na Kujiunganishia Wafikishwa Mahakamani

Waliotoboa Bomba la Mafuta na Kujiunganishia Wafikishwa Mahakamani
January 16, 2018 Watu saba ambao wanadaiwa kujiunganishia bomba kuu la mafuta ya Dizeli hadi nyumbani kwao  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kusomewa mashtaka hayo.

Watu hao walikamatwa siku chache za nyuma na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali Kigamboni ambapo wote walikuwa wakifanya kazi hiyo ya kunyonya mafuta katika bomba hilo la Tanzania na Zambia (TAZAMA).
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad