Wassira: Nyalandu ameanza kuwapigia simu baadhi ya viongozi wa CCM.

Wakati akihutubia kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM, Maulid Mtulia, Mzee Wassira alisikika akisema Lazaro Nyalandu ameanza kuwapigia simu baadhi ya viongozi wa CCM ili aongee nao kuhusu hatima yake ndani ya CHADEMA.

Wassira anamshangaa Nyalandu kwa kushindwa kufanya utafiti sahihi kuhusu CHADEMA kabla hajaamua kujiondoa CCM na kuhamia CHADEMA na amewashauri wamsikilize na kumuuliza alichokiona CHADEMA kwa muda mfupi mpaka kuanza kufikiria hatima yake ndani ya CHADEMA.

VIDEO:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atarudi kama yule mimba feki wa ununio.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad