Wauza Nguo Mtandaoni Wamuingiza Mjini Shilole "Nikirudia Tena Labda Mimi Sio Da Mwajuma"

Wauza Nguo Utandaoni Wamuingiza Mjini Shilole


Mwanadada shilole amejikuta akiingizwa mjini na wafanyabiashara wa mtandaoni baada ya kuagiza nguo aliyoipenda na kuletewa nguo tofauti na hiyo iliyoonekana kutoipenda.


Shilole alishindwa kujizuia kuonyesha hisia zake na kuamua kuandika ujembe kwenye ukrasa wake wa istagramu.

Aliandika "Yaani kama ntaagiza nguo mimi mitandaoni tenaaaaaaaa walah labda mimi sio dada Mwajuma" akuishia hapo alipost picha yake aliyovaa nguo hiyo na kuandika "mwanamke mtindi babu weee"


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUWA NAJIULIZA MASWALI MENGI BILA KUPATA JIBU' JE UMIAGIZA IMELETWA UMEIVAA UMEJITIZAMA KWENYE KIOO NA KIOO KINGINE UCHEBE ALIKUWEPO; KWANINI UENDELEE KULAZIMISHA KUIVAA HIVYO HIVYO? JE ULIKUWA HUNA NGUO NYINGINE MBADALA WA HIYO, HICHO KITUKO ULICHO;TUONYESHA NI AIBU YAKO WEWE MWENYEWE NA HUYO MUME WAKO ZUZU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad