Waziri wa Maji Avunja Bodi za Wakurugenzi Majisafi na Usafi wa Mazingira

Waziri wa Maji Avunja Bodi za Wakurugenzi Majisafi na Usafi wa Mazingira
Taarifa zilizotufikia  ni kwamba Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe amezivunja Bodi za Wakurugenzi za Majisafi na Usafi wa Mazingira za mikoa miwili.

Bodi hizo ni za Jiji la Arusha yaani AUWSA na ile ya mkoani Musoma ya MUWASA na kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Kitila Mkumbo, Waziri Kamwelwe amevunja bodi hizo baada ya kutoridhishwa na utendaji wake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad