WCB Yamtambulisha Rasmi Mbosso

WCB Yamtambulisha  Rasmi Mbosso

Usiku wa kuamkila leo WCB ikiongozwa na Diamond Platnumz, wamemtambulisha msanii wao mpya Mbosso ambaye alikuwa Yamoto Band.



Hafla ya kumtambukisha msanii huyo iliudhuliwa na watu mabalimbali ikiwemo waandishi wa habari.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad