Wema na Diamond Ndo Habari ya Mjini Leo..Waonekana Kwenye Sherehe Wakipeana Mahaba Motomoto

Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana. Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo..

Tazama VIDEO:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAHAHAHA AMPE MIMBER AISEE SI KUMTOBOA TU ZARI KOMAA MAMAA HAWA WASIKUZINGUE

    ReplyDelete
  2. ila zari anapitia majaribu mengi mama wa watu duu,, ningekuwa mimi walahi nisingeendelea kuzalilishwa namna hii, kila siku sababu mara shetani kanipitia mara vile, shetani kakuptia mpk unamtia mtu mimba, huyu Domo ni kichefuchefu sana

    ReplyDelete
  3. KWELI DR REMMY ALIIMBA WEWMA WEMA WEMA....................

    ReplyDelete
  4. HAWARA-HANA-TALAKA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad