Yanga Yapewa Kibali cha Kufanya Mikutano

Yanga  Yapewa Kibali cha Kufanya Mikutano
Klabu ya Yanga imepata kibali cha kufanya mikutano yake ya viongozi wa matawi ambayo hapo awali ilizuiliwa kufanyika na Jeshi la Polisi.

Wizara ya mambo ya ndani imeipatia Yanga kibali maalum cha kufanya mkutano wao siku na tarehe watakayopanga kufanyika.

Wizara imeitaka klabu hiyo kutumia fursa hiyo vema na kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kuhakikisha hakuna uvunjifu wa amani utakao jitokeza katika vikao vyao.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad