Zari Awakata Kidomo Wakina Hamisa Mobetto, Anunua Gari Mpya 2018 Kuwaonyesha Jeuri ya Pesa

Baada ya kununua Mercedes mpya Model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, Tarehe 05 Jan 2018 zari kanunua gari mpya Suv aina ya Audi mara baada ya chuo cha mumewe kukusanya ada za wanafunzi wapya.

Hili Ndilo Gari Alilonunua Zari

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama amelipia kodi.... Haina noma!
    Loz loiz ya Domo si ali ilipia TLA na kodi stahiki zote!!
    Ya Wema ile lenji lova nasikia iliuzwaga.
    Siku hizi hamna Dili dili na magumashi...Magu kaishtukia hiyo michezo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad