"Mimi sitaki kuwapa polisi sifa ya kupambana nasi. Tumeahirisha mkutano mpaka siku ya jumamosi Lakini tumewaandikia barua rasmi kuwa sheria waliyonukuu sio sheria halali na haihusiani na mikutano ya Mbunge kwenye jimbo lake la Uchaguzi. Sheria wanayopaswa kunukuu ni sheria namba 3 ya mwaka 1988 kifungu cha 4(1)". Alisema Zitto Kabwe
Kufuatia jambo hilo Zitto Kabwe amedai kuwa atamwandikia barua rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai kuhusu suala hilo ili kutengeneza mazingira kwa siku za usoni lisije kumtokea Mbunge mwingine yoyote.
Polisi wanasheria, serikali inasheria , bunge linasheria. Ukweli ni kwamba hakuna sheria na watu hawazijui sheri zao.kila mtu analeta sheria zake mwenyewe. Na sheria hizihizi hazitumiki vyema wala sawa. Ni mfumo mbovu kiuongozi. Viongozi wengi wanachukulia sheria mikononi na ni hatari.
ReplyDeleteZitto zumbli kambwe... Sasa amekuwa ni mwanashelia. Maalufu kati Aflika ya mashaliki na kati.
ReplyDeleteZito zumbli kabwe atamuandukia balua spika Job Ndugai kumweleza na kufundisha shelia.
Dogo anajikita sasa Ujiji kuwafanyia mikutano na kupoteza boya wana Kigoma na Muda waopia.
HATUTAKI UKANYABOYA ZITTO. LUDI MJJINI ULIKOHAMIA.