Zitto: Nilipokuwa Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma tulimhoji Tido na Kuthibitisha Hakuwa na kosa

Kupia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter Mbunge Zitto Kabwe amesema alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma, walimuita Tido Mhando na kumhoji kuhusu tuhuma alizofikishwa nazo kortini leo.


Zitto Kabwe Ruyagwa
We did it. And I am pretty sure there was no wrong doing. We had all the documents scrutinized and it was proven beyond doubt that it went through board and only thing to do was review the contract and improve it





Walithibitisha hakuna kosa alilolifanya, aitaka TAKUKURU isome ripoti zote na kuna uwezekano wakashindwa kesi.



Tweet hiyo hapo juu imekuja ikiwa ni muendelezo baada ya kuandika tweet nyingine ambayo ilikuwa inamjibu mdau mmoja ambaye alisema Tido alitumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Tweet hiyo imesema;
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inakuhusu nini shahi wa mtandao. uliulizwa au wewe umeajiriwa au umeitwa au unajopeleka kutaguta kiki.
    angalia wenzalo uliokuwa hao hapo milembe eako kimya. Hicho kisim chako kikosha betri oli mtandap bando itskstila

    ReplyDelete
  2. Hii inaonesha dhahiri yakwamba huo uenyekiti wa Zito Kabwe wa kamati ya Bunge ya mashirika ya umma ulikuwa wa hovyo na upuuzi mtupu na alikuwa hajui alichokuwa anakifanya. Kulikwa na kamati nyingi za kiuchunguzi katika masuala mbali mbali hapo awali na kutokutwa na makosa yeyote wakati ukweli ni kwamba walikuwa na makosa ila ufisadi ulitawala. Lakini sasa kwenye serikali hii ya awamu ya tano wacha makaburi yote yafukuliwe bila ya uoga. Zito siku zote kujifanya anajua na hana anachokijua kazi kudakia matukio kama nzi. Hii kesi bado mbichi lakini cha kufahisha zaidi katika kesi hii ni jinsi walivyoshirikishwa watu wa kiteljensia ambapo kuna vibiti vya hai vya kesi hadi kutoka nchi za nje. Yeye mwenyewe Tido Mhando anajua hakika yakwamba yupo katika mazingira magumu. Huyo Zito muache aendelee kuropokwa tu.

    ReplyDelete
  3. Zitto Zubmwil Kambwe ana serikali yake ya Ndoto Huko Ruyagwa....!!!??


    Mchana wa leo January 30, 2018 kwenye ukurasa wa mtandao wa Twitter wa Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameandika watu ambao atawateua kushika nyadhifa mbalimbali za serikali kama atakuwa Rais wa Tanzania.

    Ameandika kuwa atamchagua Mwanaharakati Maria Tsehai Sarungi kuwa Balozi wa Umoja wa Taifa huku Kaimu wake akiwa Mwanzilishi wa Nyama Choma Festival Carol Ndosi.

    Amewataja pia Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu kuwa atawachagua kuwa Mawaziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Ulinzi wa Jamii na Biashara za Umma).

    Zitto pia amewataja Mbunge wa Tarime Esther Matiko kuwa Waziri wa TAMISEMI, na Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) mkoa wa Geita Upendo Peneza kushika nafasi ya Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

    Hata hivyo Zitto ameongeza kuwa ambaye atamteua kuwa Katibu Mkuu Kiongozi hamtaji jina lakini yeye mwenyewe anajijua.

    Mirembe mna kazi kwa watu wa Dizaini Hii... Manke mpaka CDM anataka Kiki alipofukuzwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad