Abdu Kiba Afunguka Alivyoumizwa Kimapenzi ya Tunda

Abdu Kiba Afunguka Alivyoumizwa Kimapenzi ya Tunda
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Abdukiba ambaye sasa anatamba na wimbo wake 'Jeraha' amefunguka kuhusu tetesi za kuchanganywa kimapenzi na kuumizwa baada ya kuachwa na video Queen Tunda kiasi cha kumuandikia wimbo huo.


Abdukiba akipiga stori na www.eatv.tv amesema kuwa wimbo huo yeye hajamuimbia Tunda kama ambavyo watu wanadai au wanahisi bali ni hisia tu na aliuandika wimbo huo kupitia mambo mbalimbali ambayo hata yeye aliyapitia na kuamini kuwa watu wengine wameyapitia ila hakumuandikia mrembo Tunda kama watu wasemavyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad