Afisa Aanguka Ghafla Baada ya Kutumbuliwa Na Makonda

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amemwagiza Mkurugenzi  kuwapangia kazi nyingine wakuu wa Idara ya mipango miji manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na wa Ubungo, Hamis Songwe ambapo mkuu wa idara ya Ilala alianguka chini.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii kali. Inabidi mkuu wa mkoa awe anatembea na watu wa huduma ya kwanza katika ziara za utumbuaji.

    ReplyDelete
  2. Wanajisahau sana, mpaka wanafika mda wanaona kazi niyakwao milele, acha watumburiwe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad