Breaking News: Diwani wa Chadema Kata ya Namwawala Afariki Kwa Kukatakatwa na Mapanga na Watu Wasiojulikana

Diwani wa Kata ya Namawala wilayani Kilombero, Godfrey Lwema (CHADEMA) ameuawa usiku wa leo nyumbani kwake kwa kukatwakatwa kwa mapanga na watu wasiojulikana.

Polisi ndo wanaelekea huko.

Taarifa za awali zinasema kuwa usiku umeme ulikatika katika nyumba yake. Luena akatoka nje kutizama kama kuna shot maana nyumba za jirani zilikuwa na umeme. Alipozunguka nyuma ya nyumba yake kukagua umeme akakutana na kikosi cha watu wenye mapanga wakamkatakata hadi wakamtoa roho.

Ee Mungu tuokoe.

R.I.P. LUENA R.I.P

Namwawala Kilombero- Morogoro

By Mdau JF
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad